Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa mwito kwa jamii ya kimataifa kuungana ili kukabiliana na tatizo la ukosefu wa makazi duniani, hali ambayo inatishia maisha ya mamilioni ya watu hasa wale wenye ...
Kampuni ya Umeme ya Tokyo, TEPCO, inayoendesha mtambo wa umeme wa nyuklia mkoani Fukushima, kaskazini mashariki mwa Japani ...
Malaysia imethibitisha tena kwamba itaendelea na usambazaji thabiti wa gesi asilia kwa Japani. Nchi hiyo pamoja na Japani ...
Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei, akizungumza katika hafla ya maombolezo ya Imamu wa nane wa Kishia amesema kuwa, Marekani inataka "kutoa amri kwa taifa la Iran," na hiyo ndiyo sababu ya ...
Inaonekana kwamba hatua ya Mohammed Salah kutorudi nyuma ili kusaidia timu yake ya Liverpool, hasa dhidi ya timu bora - imezua tatizo. Ninaelewa kabisa iwapo bosi wa Reds Arne Slot amemwambia Salah ...
Wito umetolewa kutoka kila kona ya nchi hiyo ukimtaka rais atafute ufumbuzi wa kudumu ili kunusuru mdororo wa uchumi unaoshuhudiwa sasa ukichochewa na ukosekanaji wa nishati ya kutosha ya umeme ambao ...
Katika Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili, mtayarishaji wa makala haya amezungumza na Profesa Wetengere Kitojo, mtaalamu wa masuala ya uchumi akiwa Tanzania, ambapo wanaangazia kuhusu tatizo la ...
Shirika la afya duniani, limeiorodhesha Kenya miongoni mwa baadhi ya nchi za Afrika zenye kuwa na idadi kubwa ya vijana wanaojitoa uhai. Makala haya yanaangazia safari ya nchi ya Kenya kuipa kipau ...