Let's make this delicious typical Swahili combo meal consisting of mpunga rice, mchuzi wa nazi and fried fish [Courtesy, Chef Ali Mandhry] Let's make this delicious typical Swahili combo meal ...
Wananchi wapatao 110 wameuawa nchini Nigeria na wengine kujeruhiwa katika shambulio la wakulima kaskazini mwa Nigeria. Mratibu wa Umoja wa Mataifa -UN Edward Kallon,ametoa taarifa hiyo siku ya ...
Mkongwe wa miaka 75 nchini Sri Lanka, Herath Mudiyanselage Dharmasena, ametwaa hatimiliki ya shamba lake la mpunga na kuwapa watawa wa hekalu ya kibuddha, kwa sharti ya kuwa mazao yote yatakayovunwa ...
Wengine tayari wanauita ugonjwa huo "Uviko" wa mchele. Bakteria hii ya Xoo (Xanthomonas oryzae pathovar oryzae) huingia kwenye majani, hushambulia mmea na kuukausha. Hivyo, nafaka ya mchele inakosa ...
Mfalme wa Japani Naruhito alipanda miche ya mpunga kwenye shamba dogo ndani ya Kasri la Kifalme jijini Tokyo Mei 14. Babu wa Mfalme, hayati Mfalme Showa, alianzisha utamaduni huo kama njia ya kukuza ...
Hiki ni kipindi kinachohusisha ripoti na mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu, tunakuletea ripoti kuhusu Teknolojia Mpya ya Kilimo cha Mpunga. Kama ...
Uvamizi wa ndege aina ya nyuni katika mashamba ya mpunga ya kunyunyizia maji ya Kano Magharibi, jimboni Kisumu umewaacha wakulima wa zao hilo na hasara ya takriban zaidi ya shilingi milioni 20 ...
Mpunga ni miongoni mwa mazao ya chakula yanayozalishwa kwa wingi nchini Tanzania. Kwa miongo kadhaa wakulima wamekuwa wakilima mpunga kwa njia za kawaida ambazo huwawezesha kupata mavuno ya magunia ...
Rwanda's progress in administering Covid-19 vaccines is largely credited with reducing mortality rate in recent days, notably the zero coronavirus deaths recorded on Monday, a top health official has ...