JESHI la Polisi mkoani Geita limewatahadharisha wachimbaji wadogo katika Mgodi wa Msasa wilayani Bukombe mkoani Geita kuepuka ...
Takriban watu 288 wamefariki baada ya treni mbili za abiria kugongana na treni ya mizigo huko Odisha. Chanzo cha picha, Reuters Mwanariadha wa Kenya Faith Kipyegon aliweka rekodi mpya ya dunia ya mita ...
Wahamiaji tisa wamefariki dunia na 45 hawajulikani walipo baada ya boti yao kuzama katika pwani ya Djibouti wiki hii. Haya ...
Urusi imesema imeanzisha uchunguzi leo Jumatano baada ya ndege ya kijeshi ya Urusi kuanguka katika eneo la Ukraine ...
Familia za waathiriwa zimekusanyika katika uwanja wa ndege huku mamlaka ikichunguza chanzo cha ajali hiyo. Na Asha Juma Tumepata uthibitisho kuwa watu 179 waliokuwemo kwenye ndege hiyo wamefariki.
OFISI ya Afisa Madini Mkazi Mbogwe imetoa ufafanuzi kuhusu tukio la ajali lililotokea katika Mgodi wa Dhahabu wa Msasa kwamba wakati tukio linatokea hapakuwa na shughuli zozote za uzalishaji katika en ...
Nchini Korea Kusini, ajali ya ndege usiku wa Jumamosi Desemba 28 kuamkia Jumapili Desemba 29, 2024 ilisababisha vifo vya watu 179. Ndege hiyo ilijaribu kutua kwa mara ya kwanza na ilionekana kuwa na ...
Aliyekuwa Waziri na Mbunge wa zamani wa Lugari, Cyrus Jirongo, amefariki dunia kufuatia ajali ya barabarani eneo la Karai. Aliyekuwa Waziri na Mbunge wa zamani wa Lugari, Cyrus Jirongo, amefariki ...
Watoto wengine saba walijeruhiwa na kukimbizwa hospitalini baada ya ajali hiyo basi dogo lilipinduka na kuwaka moto baada ya kugongana na gari lingine, kwa mujibu wa taarifa ya serikali ya mkoa wa ...
Ndege ya Air Canada iligongana na lori la zimamoto katika Uwanja wa Ndege wa LaGuardia jijini New York Machi 22 usiku, na kumuua rubani na rubani msaidizi, na kuwajeruhi watu kadhaa.
MADAKTARI sita wa Hospitali ya Rufaa Sekou-Toure wamenusurika kifo baada ya kupata ajali ya gari iliyotokea katika Kijiji cha Maremve, Kata ya Igongwa, Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza. Taarifa hiyo ime ...